NINI TIBA YA CHUNUSI?

Jan

22

2014

NINASUMBULIWA NA CHUNUSI KWA MUDA MREFU.NIMETUMIA DAWA NYINGI LAKINI IMESHINDIKANA.NIMEKUTANA NA DAWA HII YA KUMEZA(ISOTRETINOIN) MTANDAONI LAKINI INABIDI KUPATA USHAURI WA DK.NAOMBA MSAADA HATA KAMA KUNA DAWA ZINGINE NA NAMNA YA KUZIPATA MAANA NIANASUMBUKA NA KUTESEKA.

In: Antibiotics Asked By: [2 Grey Star Level]
Answer #1

Hello Kabonye Albert,

Pole kwa kusumbuliwa na chunusi.

Kwa maelezo yako inaonekana umeshajaribu dawa nyingi sana. Kwa vile ni vigumu kujua umetumia dawa gani mpaka sasa ningekushauri kwanza tuangalie vyakula gani unakula. Ni kipindi gani ambapo Unaona chunusi zinaongezeka kwa kasi Zaidi?

Ushauri wangu kwa kuanzia ni kupunguza kula vitu vyenye Sukari nyingi kama ice cream, chocolate nk Pamoja na vyakula vya mafuta mengi kama Kama vyakula vya kukaanga nk.

Kwa maelezo Zaidi tunaweza kuwasiliana.
Ninapatikana kwa Namba hizi za Simu

0718311300

Asante sana
Dr Isaac Maro

Answers Answered By: Dr Isaac Maro [66 Blue Star Level]

Answer this Question

You must be Logged In to post an Answer.

Not a member yet? Sign Up Now »

Star Points Scale

Earn points for Asking and Answering Questions!

Grey Sta Levelr [1 - 25 Grey Star Level]
Green Star Level [26 - 50 Green Star Level]
Blue Star Level [51 - 500 Blue Star Level]
Orange Star Level [501 - 5000 Orange Star Level]
Red Star Level [5001 - 25000 Red Star Level]
Black Star Level [25001+ Black Star Level]